Long story
Yoh
Ule boy alienda wapi?
Skiza
Mboka Doba
Cheki
Makelele kwani nani anabisha?
Kwenda kucheck landi na vifuli sita
Ananishow 'keja nadai kutinga'
Nigrab kenye nataka, nisafishe nikimaliza
Ai, si tulielewana Monday?
'Hapana akili nimebadilisha'
We safisha beshte yangu anadai kuingia
Nikaenda kwa jirani yangu ye hupenda beer
Akiniserve tiabe although pia ye ako chupri
After dakika nane nikaenda kutafuta shugli
Kupatana na beshte akanishow twende hivi
Tukiwa njiani, morio naona mbogi
Naskia 'huyu boy ndo alinitoka tenje'
Na ju wako mbogi ni trrr toka teke
Rudia kikosi tutrace hao masenje
Walinigeuzia so tuliwatoka matenje
Rusha wamocho nimepunguza mawazo
Sina doh ya ng’ondo sa ni kuuma vako
Ndio nimalize stress nikaingia studio
Nikapatana na Chloe na VK kwa studio
Stevo akarecord doba inaenda 'wallahi ananidai'
Ilitubamba tukaenda home five
Kufika area tena ni stress walai
Sina doh so kenye akili inagonga ni crime
Natafuta kwa kulala na beshte yangu Head Bad
Beshte yangu Head Bad
Before niende kudoz tuingie mission moja wagwan
Mission moja wagwan
Tuka trace mheshi flani hukua paper
Mansion bwaku joh unaeza potea
Ndio anatoka wera so nikumtegea
Gate wakifungua polepole ingia
Juu kuna giza hawakutuskia
Akaona njia iko wapi, kwa dirisha
Hao sisi ingia, ni kuhepa familia
Si tunataka tu ile safe wao husundanga mamia
Wale maboy tulitrace walitufuata
Juu tuko on si maboy waliogopa
So ikabidi waende wakataje back up
Tukidhani ni mbogi, imagine ni mambang’a
Walisnitch tukiwa scene na ni sin
Tena ni drrr, toka teke
Mansion ni bigi tafuta exit yoyote
Tension imejaa juu ya siren huko nje
Roho ya kwangu inadunda du du
Masanse nyuma hawatuwachi si uduu
Kidogo tena, gunshot one, two
Kugeuka naona beshte yangu amelazwa kwa pool, ya dibla
Tena sai zimenishika
Biz imechomeka nasaka kwa kujificha
Wakanikosa ikabidi wameingia
Kujisundua, rada naangalia
Nikatoa mask nikaichomea kwa njia
Na hio riba mi nikanyamazia
Juu mi ni ndume so hakuna kulia
Inabidi kilio ndani joh nimekazia
Nikakumbuka na nikafikiria
Nikaenda kudoz kwa beshte yangu joh wa kanisa
After that tabia nikabadilisha
Sa mboka ya doba ndio nadai kuingia
Long story, na ni ngori, skiza story
Ni long story, na ni ngori bro, skiza story
Ati ni Long story, na ni ngori, skiza story
Ni long story, na ni ngori
No comments, you can be the first