Yalaaaa lyrics

Mmmmh kaniumbua umbua
Anavyonidadavua
Vitu flani vya kusisimua
Chachambu anavyo ichambua
Hunipa ning’ate ng’ate
Mikato nikate kate
Igande inate nate
Itelezeshwe kwa matee

Yalaaaa, Yalaaaa
Yalaaaa, Yalaaaa
Yalaaaa, Yalaaaa
Yalaaaa, Yalaaaa
Yalaaaa, Yalaaaa

Kanipania pania
Na hajataka kuniachia
Kanipania pania
Na hajataka kuniachia
Kama samaki hulumangia
Huanza kichwa mpaka na mkia
Naiomba serikali
Kijana apelekwe mbali
Ananifanya silali, siwazi, sitafakari

Yalaaaa, Yalaaaa
Yalaaaa, Yalaaaa
Yalaaaa, Yalaaaa
Yalaaaa, Yalaaaa
Yalaaaa, Yalaaaa

Zuchu – Yalaaaa

Some videos may be incorrect, apologies if this is the case, we are improving so that this does not happen in the future.

See Videoclip

Top Artist See more

Many companies use our lyrics and we improve the music industry on the internet just to bring you your favorite music, daily we add many, stay and enjoy.